Salaam Maria (Nicholas Azza)
Music files
ICON | SOURCE |
---|---|
Midi | |
Mp3 | |
MusicXML | |
File details | |
Help |
- Editor: Nicholas Azza (submitted 2021-12-20). Score information: A4, 4 pages, 205 kB Copyright: Personal
- Edition notes:
General Information
Title: Salaam Maria
Composer: Nicholas Azza
Lyricist: Nicholas Azza
Number of voices: 4vv Voicing: SATB
Genre: Sacred, Hymn
Language: Swahili
Instruments: A cappella
First published: 2021
Description: This is the prayer 'Hail Mary' in Swahili.
External websites:
Original text and translations
Swahili text
SALAAM MARIA
1. Salaam Maria, umejaa neema, Bwana yu nawe Maria.
Umebarikiwa kuliko wanawake, wanawake wote duniani.
Naye Yesu, Bwana wetu, mzawa wa tumbo lako, amebarikiwa sana.
Ewe Maria kwa utiifu wako umeleta wokovu duniani.
Mama Maria utufundishe kuwa watiifu kwa maagizo ya Mungu.
2. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, Mama wa Kanisa.
Utuombee sisi wakosefu, saasa na saa ya kufa kwetu.
Ewe Mama wa Rehema, Ewe Bikira Msafi, uwe shauri na kimbilio letu.
Ewe Maria, moyo wako ulichomwa na kifo cha mwanao.
Sasa Maria tusaidie kuvumilia mateso yetu.
Amina.