Misa Ya Mashahidi Wa Uganda (Nicholas Azza)
Music files
ICON | SOURCE |
---|---|
Midi | |
MusicXML | |
File details | |
Help |
Kyrie / Bwana Utuhurumie
- Editor: Nicholas Azza (submitted 2021-10-09). Score information: A4, 1 page, 127 kB Copyright: Personal
- Edition notes:
Gloria / Utukufu Kwa Mungu Juu
- Editor: Nicholas Azza (submitted 2021-10-09). Score information: A4, 2 pages, 313 kB Copyright: Personal
- Edition notes:
Sanctus / Mtakatifu
- Editor: Nicholas Azza (submitted 2021-10-09). Score information: A4, 1 page, 150 kB Copyright: Personal
- Edition notes:
Agnus / Mwanakondoo
- Editor: Nicholas Azza (submitted 2021-10-09). Score information: A4, 2 pages, 160 kB Copyright: Personal
- Edition notes:
General Information
Title: Misa Ya Mashahidi Wa Uganda
Composer: Nicholas Azza
Lyricist: Nicholas Azza
Number of voices: 4vv Voicing: SATB
Genre: Sacred, Vernacular Mass
Language: Swahili
Instruments: A cappella
First published: 2021
Description: Mass dedicated to the Martyrs of Uganda (Misa Ya Mashahidi Wa Uganda).
External websites:
Original text and translations
Swahili text
BWANA UTUHURUMIE
(Misa Ya Mashahidi Wa Uganda)
Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie
Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie.
Kristo, Kristo, Kristo utuhutumie
Kristo, Kristo, Kristo utuhutumie
Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie.
Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie.
UTUKUFU KWA MUNGU
Kitikio
Utukufu kwa Mungu, utukufu kwa Mungu juu mbinguni.
Na amani (pote!) duniani (kweli!), kwa watu wenye mapenzi mema.
Mashairi
1. Tunakusifu, tunakubariki, tunakuabudu, tunakutukuza.
Tunakushukuru kwa ajili ya utukufu wako mkuu, Ee Bwana Mungu,
Mfalme wa mbinguni, Mungu baba, Ee Mungu Baba mwenyezi’
2. Ee Bwana Yesu Kristo, Mwana wa pekee, Mwanakondoo wa Mungu .
Uondoaye dhambi za dunia , utuhurumie.
Uondoaye dhambi za dunia , pokea ombi letu.
3. Ewe mwenye kuketi kuume kwa Baba, utuhurumie.
Kwakuwa ndiwe uliye peke yako Mtakatifu, Ee Bwana Yesu,
kwakuwa ndiwe uliye peke yako Mkuu, Yesu Kristo.
4. Pamoja na Roho Mtakatifu
katika utukufu wa Mungu Baba mwenyezi,
Amina, Amina.
MTAKATIFU
1. Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu (Mtakatifu!) Bwana Mungu wa majeshi
Mbinguna dunia zimejaa (zimejaa!), zimejaa utukufu wako.
Hosana juu mbunguni, Hosana juu mbinguni. x2
2. Mbarikiwa anayekuja (Mbarikiwa!) kwa jina la Bwana.
Mbarikiwa anayekuja (Mbarikiwa!) kwa jina la Bwana.
Hosana juu mbunguni, Hosana juu mbinguni. x2
MWANAKONDO
Mwanakondoo wa mungu, unayeondoa dhambi za dunia, utuhutumie.
Mwanakondoo wa mungu, unayeondoa dhambi za dunia, utuhutumie.
Mwanakondoo wa mungu, unayeondoa dhambi za dunia, utujalie amani. X2