Utukufu Kwa Mungu Juu (Misa Ya Mashahidi Wa Uganda) (Nicholas Azza): Difference between revisions

From ChoralWiki
Jump to navigation Jump to search
(redirect page)
Tag: New redirect
 
(One intermediate revision by one other user not shown)
Line 1: Line 1:
==Music files==
#Redirect[[Misa_Ya_Mashahidi_Wa_Uganda (Nicholas Azza)]]
{{#Legend:}}
*{{PostedDate|2021-10-09}} {{CPDLno|66140}} [[Media:Utukufu_(Misa_Ya_Mashahidi_Wa_Uganda)_2.pdf|{{pdf}}]] [[Media:Utukufu_(Misa_Ya_Mashahidi_Wa_Uganda).mid|{{mid}}]]
{{Editor|Nicholas Azza|2021-10-09}}{{ScoreInfo|A4|2|313}}{{Copy|Personal}}
:{{EdNotes|}}
==General Information==
{{Title|Utukufu Kwa Mungu Juu (Misa Ya Mashahidi Wa Uganda)}}
{{Composer|Nicholas Azza}}
{{Lyricist|Nicholas Azza}}<br>
{{Voicing|4|SATB}}
{{Genre|Sacred|Masses}}
{{Language|Swahili}}
{{Instruments|A cappella}}
{{Pub|1|2021}}
{{Descr|This is the Gloria in Swahili - part of the Mass dedicated to the Martyrs of Uganda (Misa Ya Mashahidi Wa Uganda).}}
{{#ExtWeb:}}
==Original text and translations==
{{Text|Swahili|UTUKUFU KWA MUNGU JUU
(Misa Ya Mashahidi Wa Uganda)
 
Kitikio
Utukufu kwa Mungu, utukufu kwa Mungu juu mbinguni.
Na amani (pote!) duniani (kweli!), kwa watu wenye mapenzi mema.
 
Mashairi
1. Tunakusifu, tunakubariki, tunakuabudu, tunakutukuza.
Tunakushukuru kwa ajili ya utukufu wako mkuu, Ee Bwana Mungu,
Mfalme wa mbinguni, Mungu baba, Ee Mungu Baba mwenyezi’
 
2. Ee Bwana Yesu Kristo, Mwana wa pekee, Mwanakondoo wa Mungu .
Uondoaye dhambi za dunia , utuhurumie.
Uondoaye dhambi za dunia , pokea ombi letu.
 
3. Ewe mwenye kuketi kuume kwa Baba, utuhurumie.
Kwakuwa ndiwe uliye peke yako Mtakatifu, Ee Bwana Yesu,
kwakuwa ndiwe uliye peke yako Mkuu, Yesu Kristo.
 
4. Pamoja na Roho Mtakatifu
katika utukufu wa Mungu Baba mwenyezi,
Amina, Amina.}}
 
[[Category:Sheet music]]
[[Category:Modern music]]

Latest revision as of 21:11, 13 October 2021