Utukufu Kwa Mungu Juu (Misa Ya Mashahidi Wa Uganda) (Nicholas Azza)
Music files
ICON | SOURCE |
---|---|
File details | |
Help |
- Editor: Nicholas Azza (submitted 2021-10-09). Score information: A4, 2 pages, 313 kB Copyright: Personal
- Edition notes:
General Information
Title: Utukufu Kwa Mungu Juu (Misa Ya Mashahidi Wa Uganda)
Composer: Nicholas Azza
Lyricist: Nicholas Azza
Number of voices: 4vv Voicing: SATB
Genre: Sacred, Mass
Language: Swahili
Instruments: A cappella
First published: 2021
Description: This is the Gloria in Swahili - part of the Mass dedicated to the Martyrs of Uganda (Misa Ya Mashahidi Wa Uganda).
External websites:
Original text and translations
Swahili text
UTUKUFU KWA MUNGU JUU
(Misa Ya Mashahidi Wa Uganda)
Kitikio
Utukufu kwa Mungu, utukufu kwa Mungu juu mbinguni.
Na amani (pote!) duniani (kweli!), kwa watu wenye mapenzi mema.
Mashairi
1. Tunakusifu, tunakubariki, tunakuabudu, tunakutukuza.
Tunakushukuru kwa ajili ya utukufu wako mkuu, Ee Bwana Mungu,
Mfalme wa mbinguni, Mungu baba, Ee Mungu Baba mwenyezi’
2. Ee Bwana Yesu Kristo, Mwana wa pekee, Mwanakondoo wa Mungu .
Uondoaye dhambi za dunia , utuhurumie.
Uondoaye dhambi za dunia , pokea ombi letu.
3. Ewe mwenye kuketi kuume kwa Baba, utuhurumie.
Kwakuwa ndiwe uliye peke yako Mtakatifu, Ee Bwana Yesu,
kwakuwa ndiwe uliye peke yako Mkuu, Yesu Kristo.
4. Pamoja na Roho Mtakatifu
katika utukufu wa Mungu Baba mwenyezi,
Amina, Amina.